» » WATCH THE OFFICIAL RELEASE NEWS FROM YOUR FAVORITE SITE||OFFICIAL RELEASE NEWS|| Watanzania walioshinda tuzo za HIPIPO 2017 Uganda|[Read Here]


Tuzo za Hipipo Awards ni tuzo za muziki zinazotolewa kwenye nchi ya Uganda ambapo zimefanyika February 4 2017 Kampala Uganda.
Baadhi ya Watanzania walioshinda tuzo hizo ni Navykenzo kwenye Best New Act, Alikiba ameshinda tuzo mbili kupitia Unconditional bae aliyofanya na Sauti Sol wa Kenya na pia wimbo huohuo umechukua tuzo ya wimbo bora wa mwaka kwa Kenya na East Africa Super Hit -Unconditionally Bae
Diamond Platnumz ameshinda tuzo mbili, Quinquennial Africa Music Vanguard na East Africa Best video -Salome

About toooo yoooo

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply