Friday, 3 June 2016

Video: Shetta akifanya show pamoja na kumtambulisha meneja wake, Michael Mlingwa

Usiku wa Alhamisi hii, mkali wa muziki Shetta aliweza kuandaa sherehe maalum ya kuwashukuru mashabiki wake wa muziki kwa kumfikisha hapo alipo sasa, ambapo pia aliweza kutumia nafasi hiyo kumtambulisha meneja wake mpya Michael Mlingwa ‘MX’. Pia Shetta aliweza kuwaburudisha mashabiki wake kwa kuimba wimbo ‘Namjua’.

No comments:

Leave a Reply