Thursday, 2 June 2016

Picha: Diamond aitambulisha rasmi label ya WCB pamoja na ‘kumsainisha’ Rich Mavoko

Diamond Platnumz Alhamisi hii ameitambulisha rasmi label yake ya ‘WCB’ pamoja na kumsaini Rich Mavoko mbele ya waandishi wa habari.

Image result for diamond platnumz na rich mavoko



Aidha, Diamond alimtambulisha dada yake, Queen Darleen kuwa mmoja kati ya wasanii wapya wa label hiyo.
Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Taifa, Godfrey Mngereza ambaye alizungumza na kumpongeza Diamond huku akiwataka wasanii wengine kushirikiana kwa namna hiyo.

No comments:

Leave a Reply