Kupitia Twitter yake Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha wakali wawili ambao ni Harmonize wa Tanzania na Korede wa Nigeria, ambapo pia muonekano wake ulionekana ukiwa na mabadiliko ya meno ya Gold, tazama hii video hapa chini
BURUDANI VIDEO: Meno ya gold ya Diamond yaonekana akimuongelea Harmonize na Korede

No comments: