June 2, 2016 label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi msanii wao mpya Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
#VIDEO: Rich Mavoko rasmi WCB, kasainishwa rasmi leo June 02 2016

No comments: