Mtu wangu kama utakuwa unafuatilia comment za mastaa kwenye post zao katika mitandao ya kijamii utakuwa unaziona comment mbaya na nzuri leo June 2 2016 Diamond Platnumz amezungumza na chanzo cha habari na kusema ni comment gani hatakuja kuisahau.
AYOTV Video: Diamond Platnumz amesema hataisahau hii comment

No comments: