Meneja wa Diamond na mmoja wa wakurugenzi wa bodi ya label hiyo, Sallam Sharaff lakini amedai kuwa wimbo huo uliandikwa na Ray kitambo baada ya kuombwa na rapper huyo.
“Hakuna Collabo na Raymond, alimuomba Ray amuandikie na apewe melody siku nyingi sana! Hiyo nyimbo hatuuitambui,” aliandika Sallam kwenye Twitter.
Sallam alikuwa akijibu nukuu ya Cyrill iliyoandikwa na Clouds Media Live wakati rapper huyo alipokuwa akiutambulisha wimbo huo jana. “Ngoma yangu imefanyika #TongweRecords nimempa collabo @Rayvanny,” waliandika.
Jana pia rapper huyo alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
No comments: