» » Ibaki Story imeandikwa na mwandishi wa Moyo Mashine ya Ben Pol? Haya ni majibu ya Rich Mavoko

So mtaani kuna tetesi kuwa hit mpya ya Rich Mavoko imeandikwa na mwandishi wa wimbo wa Ben Pol ‘Moyo Mashine’, Lollypop.

image

Mavoko amezijibu tetesi hizo kupitia 255 ya XXL kupitia Clouds FM na kudai kuwa ni kweli mwandishi huyo amehusika lakini si kama inavyosemwa na si kweli kwamba amekausha kutoa credits.

Amesema Ibaki Story imepita kwenye mikono ya wapishi wengi na pindi alipojiunga na WCB ilifumuliwa na kupangwa upya.
Amemtaja Kevin Snap kuwa ndiye producer aliyeianza kazi hiyo kabla ya kupelekwa kwa Man Walter na kisha kupelekekwa Lollypop aliyeongeza vitu vyake pia.
“Nilipohojiwa kwa mara ya kwanza kabisa nilimtaja [Lollypop] kati ya watu waliopata tabu na hiyo nyimbo lakini alipiga vitu vizuri, Kevin Snap alifanya vitu vizuri kwahiyo ni kazi ambayo ilifanywa na watu wengi,” alisema Mavoko.
Aliwataja maproducer walioigusa kazi hiyo kuwa ni pamoja na Kevin, David, Mazuu, Walter na Lollypop huku final production ikifanywa na Tudd Thomas.
Hata hivyo Mavoko hakueleza iwapo wimbo huo kweli uliandikwa na Lollypop au tu aliishia kuchangia vitu kwenye utayarishaji.

About toooo yoooo

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply