» » Video: Diamond awaomba radhi mashabiki wa Dallas Texas baada ya show yake kukatishwa

Msanii wa muziki anayefanya vizuri kimataifa, Diamond Platnumz amewaomba radhi mashabiki wake wa muziki wa Dallas Texas, Marekani baada ya show yake ya Mei 28 kukatishwa kutokana na ukumbi kuwa mdogo na kufanya usalama wa watu kuwa mdogo.

Diamond Texas

Video: Diamond awaomba radhi mashabiki wa Dallas Texas baada ya show yake kukatishwa

Muimbaji huyo amewataka waandaaji wa matamasha kuandaa show zao kwenye kumbi kubwa kwa kuwa muziki wa Watanzania umekuwa.
Kupiti facebook Diamoand alipost picha na kuandika:
Hii likuwa show yetu ya Juzi 28th May Dallas Texas… Ila ilibidi show hii isitishwe njiani kwakuwa watu walijaa sana kupelekea wengine kukosa tiket na Kubaki milangoni, na hata walio kuwa ndani kukosa nafasi na Mbanano uliopelekea vurugu na Kushindwa kuendelea na Performance…. Hakika muziki wetu umekuwa sasa ndugu zangu waandaaji nafikiri mtuongeze kumbi kubwa zaidi watu waweze kuburudika vya kutosha!

About toooo yoooo

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply