» » Video: Akamatwa akiwa na kuku 78 waliokufa kwa ajili ya kusamabaza kwa wauza chipsi


Katika hali isiyo ya kawaida, Kijana mmoja mkazi wa Buguruni jijini Dar es salaam amekamatwa baada ya kubainika akiwa na kuku 78 waliokufa kwa ajili ya kusamabaza kwa wauza chips.

Kuku

Alikamatwa baada ya raia wema kutoa taarifa kutoka kwa raia kuwa kuna mtu alikuwa anasamabaza kuku waliokufa kwa wauza chips na migahawa.
Afisa Afya Kata ya Buguruni amesema baada ya uchunguzi kuku hao baada ya kuchunguzwa hawafai kwa matumizi ya binadamu kwa kuwa walikuwa wameshakufa.

About toooo yoooo

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply