
June 2, 2016 label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi msanii wao mpya Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
toooo yoooo Thursday, 2 June 2016 0 No comments

Topics: news
Designed by wansniperd360 +255717303501
No comments: