» » KUA WA KWANZA KUSIKILIZA KIONJO CHA WIMBO WA OMMY DIMPOZ ALIOMSHIRIKISHA ALI KIBA…!!

Wengi watakumbuka kua Ommy Dimpoz na Diamond walikua washkaji ile mbaya ila wakaja kutofautiana na kwa inavyosemekana kwa sasa hawaongeleshani wala hawawasiliani kabisa. Kwa muda kidogo Ommy Dimpoz alikua kimya ila wiki chache zilizopita aliamua kumtambulisha msanii wake mpya kutoka katika lebo yake ya PKP.

 Pamoja na kumtambulisha Nedy siku si nyingi tutegemee bonge moja la kolabo kati ya Ommy Dimpoz na Ali Kiba. Ndio! Ni huyu huyu Kiba mshindani mkubwa wa Diamond Platnumz. Tumepata Exclusive video ya Ommy Dimpoz na Ali kiba wakiwa studio wakirecord wimbo wao huo. Skiliza kionjo kidogo cha wimbo huo hapa chini kwenye video.

About toooo yoooo

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply